Wigo wa kimataifa wa biashara haramu ya binadamu unahitaji mikakati iliyoratibiwa na inayonyumbulika: Türk
Wigo wa kimataifa wa biashara haramu ya binadamu unahitaji mikakati iliyoratibiwa na inayonyumbulika, amesema Volker Türk, Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa na Haki za Kibanadamu, OHCHR, akihutubia mkutano wa Kupambana na Usafirishaji Haramu wa Binadamu huko Vienna nchini Austria, akiongeza kuwa, “biashara haramu ya kibinadamu na unyanyasaji wa watu kwa lengo la kuongeza faida ni mojawapo ya uhalifu wa zamani na wa kutisha zaidi kote ulimwenguni.

公開済み : 2年前 沿って の General
トピック: Crime, Kidnapping, Human Trafficking, Sexual Exploitation